
Karibu Amani Kwaya
Tunakukaribisha kwa upendo wa Bwana Yesu Kristo katika tovuti yetu rasmi. Sisi ni huduma ya uimbaji wa nyimbo za Injili, tukimshukuru Mungu kwa neema yake kuu ya kutupatia nafasi ya kueneza neno lake.
Huduma Yetu
Kuhubiri na kufikisha habari njema ya wokovu kupitia uimbaji na mapambio yenye miguso ya kiungu.
Neno Letu
Tunasimama na neno la Mungu kutoka Mwanzo 26:22 REHOBOTHI – “kwa kuwa BWANA ametufanyia nafasi”.
Mialiko
Tunapatikana kwa ajili ya huduma za mialiko makanisani, matamasha, na mikutano ya Injili kote duniani.